- Imepeperushwa katika Hotuba
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu na rehma na amani zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na jamaa zake na maswahaba wake na wafuasi wake:
Kwa Umma bora ulioletwa kwa wanadamu ... Umma wa Kiislamu ambao Mwenyezi Mungu (swt) aliukirimu kwa utiifu Kwake...
Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir Mwanachuoni Mkubwa Atta Bin Khalil Abu Rashta kwa Mnasaba wa Kumbukizi ya Miaka Mia Moja ya Kuangushwa Dola ya Khilafah Mwaka 1342 H /1924 M
Salamu kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah kwa Wanaozuru Mitandao yake katika Siku Kuu Hii Iliyo Barikiwa ya Idd ul-Fitr 1441 H sawia na 2020 M
Ufafanuzi kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Kuhusu Kuthubutu Kuonekana kwa Mwandamo wa Mwezi (Hilal) wa Shawwal Mwaka Huu, 1441 H, 2020 M
Sifa njema zote ni kwa Mwenyezi Mungu, na swala na salamu zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake na maswahaba zake, na wafuasi wake …
Zipo siku zinazong’aa katika historia za mataifa ambazo ni chanzo cha ufahari wa mataifa hayo. Kwa hiyo itakuwaje ikiwa siku hizo zitakuwa ni katika kutimia kwa bishara njema za Nabii wa Mwenyezi Mungu (saw)? Bila shaka zitakuwa ni nyota zenye kung’aa angani, bali ni jua linalotoa nuru kwa ulimwengu na kulinyanyua taifa hilo juu angani… Na katika siku hizo tukufu, zipo siku za ukumbusho wa ukombozi wa Konstantinopoli…
Assalamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh, Mwenyezi Mungu aukubali utiifu wenu, na Mwenyezi Mungu aifanye Idd yenu ijae kheri na baraka. Mwenyezi Mungu aikubali Hajj ya waliohiji, na Mwenyezi Mungu aifanye iwe Hajj iliyo kubaliwa, na juhudi zilizo pokewa na dhambi zilizo samehewa.
HotubKwa wabebaji ulinganizi, Mashabaab na Mashabaat wa Hizb ut Tahrir, wabebaji ulinganizi wasafi na wachaMungu, ingawa hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu, wale wanaozungumza maneno ya kheri na kutenda vitendo vyema, na kisha kama natija yake Mwenyezi Mungu akawasifu wale wenye sifa hizi: