Ni Khalifah Pekee Anayejibu Mahitaji ya Wanawake wa Kiislamu
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ushauri (Shurah) na kuhisabu zote ni amri za Mwenyezi Mungu (swt), na miongoni mwa kanuni za hukmu ya Kiislamu, na ni wajibu kwa Khalifah. Kuaminiana kati ya mtawala na raia wake kunahakikishwa kupitia mtawala kuchukua ushauri na mtawala kuhesabiwa na raia wake.