Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 12 Sha'aban 1446 | Na: HTS 1446 / 48 |
M. Jumanne, 11 Februari 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)
Kwa wanahabari wetu waheshimiwa na vyombo vya habari, katika aina zake zote, magazeti, redio na televisheni:
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tunafuraha kukualikeni kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari wenye kichwa:
“Usomaji wa Awali wa Hotuba ya Al-Burhan”
Mkutano huo utakuwa na hotuba ya msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan, Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil).
Tarehe: Jumamosi, 16 Sha’aban 1446 H, sawia na tarehe 15 Februari 2025 M, saa 13:00 adhuhuri, Inshallah.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan – Hai al 'Azama – Mashariki mwa Uwanja.
Kuhudhuria na kushiriki kwenu ni heshima kwetu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |