Jumapili, 27 Safar 1446 | 2024/09/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

“Watoto kwa Pesa” ni Mfano Mwengine wa Faida za Kirasilimali Zinazothaminiwa Kuliko Maadili ya Kiutu

Mnamo 8 Julai gazeti la New York Times liliripoti juu ya mpango mpya zaidi wa kibiashara wa Raisi wa Amerika uliolenga kuyawekea kizuizi maazimio ya Umoja wa Mataifa ya kusaidia unyonyeshaji wa maziwa ya mama katika ngazi ya kimataifa, akiyataja kuwa mbinu bora zaidi ya kukuza afya ya watoto wachanga.

Soma zaidi...

Uingereza Yaishinda Ujanja Amerika kwa Mara Nyengine Tena kwa Kuthibitisha Mamlaka yake Barani Afrika

Ukoloni mkongwe wa kinyang'anyiro cha Bara la Afrika umepita mipaka baina ya Amerika inayo lingania kukumbatiwa kwa demokrasia na vyama vingi na upande wa pili Uingereza bwana mkoloni mkuu anayelingania kudumishwa kwa hali halisi kwa kufanya mabadiliko machache ya kisanii kuhadaa watu walio na kiu ya mabadiliko ya kihakika.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali za Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari ili Kuwanusuru Watu wa Turkestan Mashariki

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki iliandaa amali za kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuwanusuru watu wa Turkestan Mashariki ambapo wanakandamizwa kwa mikono ya Wachina kwa anwani, “Nani Ataipa Nussrah Turkestan Mashariki… Nani Atasitisha Ukandamizaji wa Uchina?!” Ilifanyika baada swala ya Juma’ katika miji saba.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu