Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
Kenya: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Kwa hoja ya ukarabati wa Reli ya Nairobi hadi Kisumu, Shirika la Reli la Kenya lilibomoa msikiti wa Jami’a na majumba ya wakaazi wa eneo la Kibos kwenye Jimbo la Kisumu hali iliowaacha familia nyingi bila makao.
Tunasikia, tunasoma na hata kuishi nazo, ni athari za kukosekana kwa Khilafah na dola ya Kiislamu inayohukumu kwa Uislamu.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya mkao wake wa kawaida kila wiki mnamo Jumamosi, Rajab 1, 1442 Hijria, sawia na tarehe 13/2/2021 M, mkao wa Kadhia za Ummah, ambalo ulisimamishwa kwa wiki kadhaa kutokana na hatua za kiafya za janga la virusi vya Korona.
Miaka 100 imepita tokea tarehe 28 Rajab ya 1342 H, ambapo Khilafah ya Uthmaniya, iliokuwa mrithi wa Dola ya Kiislamu iliyoasisiwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika Madinatul Munawwarah, kuvunjwa.
Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,
Pakistan: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Miaka 100 ya Ufisadi, Mporomoko, Vita, Uharibifu na Tabu
Minbar ya Ummah: Taarifa ya Wanawake wa Familia za Wale Waliokamatwa na Ujasusi wa Uturuki katika Mji wa Azaz!