Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 334
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 334
Vichwa Vikuu vya Toleo 334
Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya inafuraha kupongeza Waislamu humu nchini na kote duniani kwa ujumla kwa kufikiwa na Mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Baada ya kufanikiwa kwa Rais wa zamani wa Amerika Donald Trump katika kuunda Mahakama ya Upeo ya Amerika inayounga mkono Republican ambayo inaweza kuhimili kwa miongo kadhaa,
Tumesoma katika gazeti lenu, Toleo la (271), la Jumatatu 23 Shaban 1442 H, sawia na 05 Aprili 2021 M, makala ya mwandishi Ezz El-Din Saghiroun chini ya anwani: "Kwa mantiki ya Kiislamu:
Al-Waqiyah TV: Silsila ya Ramadhan "Neno Zuri"
Mnamo siku ya Ijumaa, 02/04/2021, sheria ilichinjwa tena kwa kesi ambayo ilianzishwa kwa sababu ya Kongamano la Khilafah nchini Uturuki mnamo 2017 lakini haikufanyika kwa sababu ya kuzuiwa na utawala.
Elimu ni kusudio msingi la jamii yetu hivi leo. Ni moja ya Malengo muhimu ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa, kufikiwa kwake ni shabaha ya takriban kila mtu duniani kote.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Novemba 2020 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Disemba 2020 M.