Chini ya kisingizio cha kupambana na COVID-19 kunafanywa bidaa mpya kwa Dini yetu
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Serikali kupitia baraza la dini mseto (Inter- Faith) imefungua misikiti kwa mikakati mikali.
Serikali kupitia baraza la dini mseto (Inter- Faith) imefungua misikiti kwa mikakati mikali.
Polisi wamewaua kwa kuwapiga risasi mtu mmoja na watoto wake wawili kwenye uvamizi wa usiku katika kaunti ya Kwale Kusini mwa Pwani ya Kenya.
Kama hatua yake mpya ya kukabiliana na janga la kiulimwengu la Virusi vya Korona, serikali imeamua kuyafunga maeneo mawili yenye idadi kubwa ya Waislamu ambayo pia ni vituo muhimu vya kibiashara; Eastleigh Jijini Nairobi na Old Town, Mombasa.
Huku umma unapoingia katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, Hizb ut-Tahrir Kenya ingependa kutuma risala zake za dhati kuwapongeza Waislamu wa Kenya na ulimwengu kwa jumla.
Huku ulimwengu ukiendelea kukumbwa na janga la Virusi vya Korona, Kenya kama serikali nyingine duniani inaonekana kujikakamua na majaribio ya kukabiliana na janga hili.
Ripoti ya Mradi wa Kuunganisha Daraja (BBI) iliyochapishwa katika gazeti rasmi la serikali mnamo 24 Mei 2018 na ikawekwa hadharani kwa umma mnamo Novemba mwaka jana ili kujadiliwa na umma,
Aliyekuwa Raisi wa Kenya Daniel Arap Moi alifariki mnamo 4 Februari 2020 akiwa na umri wa miaka 95. Moi alikuwa ni Raisi wa pili na aliye tawala kwa muda mrefu wa miaka 24 hadi kustaafu kwake mnamo 2002.
Mahakama ya Upeo imetupilia mbali ombi la kuitathmini kesi ya Hijab iliyo sajiliwa ili kubatilisha agizo kutoka Shule ya St Paul Kiwanjani la kupiwapiga marufuku wanafunzi Waislamu kutokana na kuvaa Hijab.
Chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Maarufu, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi,
Imepita saa 72 (kuanzia Jumapili, 29/09/2019 Saa 18:15 PM) miili ya Mariam Kigenda mwenye umri wa miaka 35 na binti yake hadi sasa haijatolewa kutoka majini.