Shambulizi la Garissa Lisitumiwe Kueneza Ajenda ya Kikoloni ya Chuki Dhidi ya Uislamu
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Chama cha Kisiasa cha Kiislamu Hizb ut Tahrir Afrika Mashariki kimeshtushwa na mauaji ya kinyama ya wanafunzi 147 mjini Garissa, eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya.