Tangazo la Matokeo ya Mwandamo wa Mwezi wa Ramadhan 1441H
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Habari muhimu
Habari muhimu
Huku umma unapoingia katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, Hizb ut-Tahrir Kenya ingependa kutuma risala zake za dhati kuwapongeza Waislamu wa Kenya na ulimwengu kwa jumla.
Waziri wa Wakfu na masuala ya Kiislamu nchini Jordan, Dkt. Muhammad Al-Khalayleh, juzi alitangaza mwendelezo wa kufungwa kwa misikiti katika Ufalme huo na kutoanzishwa kwa swala za Tarawehe katika misikiti na kujitolea kuzitekeleza majumbani...
Katika uwezo wake kama wadhifa wa juu, Rais Frank-Walter Steinmeier alichora mipangilio ya sera za kigeni na usalama za Ujerumani.
Kuenea kwa janga la virusi vya Korona na matokeo yake yamedhihirisha mapengo makubwa katika mfumo wa Kirasilimali na nidhamu huru ya Kijamii.
Bangladesh inakaribiwa kukabiliwa na janga kwani kuzuka kwa virusi vya korona, kumeanza kuleta uzito, watu wanamaliza siku zao kwa wasiwasi na kutokuwa na hakika
Ummah wa Kiislamu umepitia kumbukumbu ya maumivu; ni kumbukumbu ya kuvunjwa kwa serikali ya Kiislamu ambayo misingi yake imeanzishwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) mjini Madina, kisha kuendelezwa na Waislamu, kizazi baada ya kizazi.
Huku ulimwengu ukiendelea kukumbwa na janga la Virusi vya Korona, Kenya kama serikali nyingine duniani inaonekana kujikakamua na majaribio ya kukabiliana na janga hili.
Kujibu janga la virusi vya korona inahitaji nidhamu kamili ya utunzaji inayofanyakazi katika ngazi zote, ambapo ustawi wa watu wote ndio jambo la msingi.
Mfumo wa kibepari uliojengwa juu ya itikadi ya kisekula unafichuliwa na janga la virusi vya Korona.