Barua ya Wazi kwa Mufti na Maulama ndani ya Sultani ya Oman
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Muslim aliripoti katika Sahihi yake katika mlango wa: "Ukarimu wa watu wa Oman" kutoka kwa Abu al-Wa'dh Jabir ibn Amr al-Rasibi: Nilimsikia Abu Barzah akisema: Mtume wa Mwenyezi Mungu alimtuma mtu kwa kabila miongoni mwa makabila ya Waarabu. Walimchukia na kumpiga. Akarudi kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na kumsimulia (mateso aliyofanyiwa na watu wa kabila hilo)...