Merekebisho Kwenye Kanuni za Kuzuia Ugaidi ni Hatua Nyingine ya Kuushambulia Uislamu
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tarehe 5 Julai, 2019 Rais Uhuru Kenyatta alitia saini mswada wa kanuni ya Sheria zilizofanyiwa marekebisho jumla ya mwaka 2019 ikiwemo ile kanuni ya kuzuia ugaidi (The Statute Law (Miscellaneous Amendment) Act 2019 – No. 21 of 2019).