Katili I. Karimov Amekufa, lakini Serikali Yake Bado Ingalipo!
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kuanzia asubuhi na mapema mnamo 14 Novemba kulianza misako mikali katika jiji kuu la Uzbekistan, Tashkent, katika majumba ya Waislamu walio nasibishwa kwa njia moja au nyengine na chama cha kisiasa cha Hizb ut Tahrir.