Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 318
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 318
Vichwa Vikuu vya Toleo 318
Akitia taaliki ombi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini Uturuki kwa kuhukumu ya kifungo cha miaka 52.5 kwa wazungumzaji wanne katika Kongamano la Khilafah lililopangwa kufanyika mnamo 2017 na ambalo lilipigwa marufuku bila sababu yoyote.
Wilayah ya Tunisia: Kisimamo cha Kitengo cha Wanawake mbele ya Bunge, "Imetosha Kuchochea dhidi ya Hukmu za Sharia kwa kutumikia Ajenda za Kigeni."
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Uchomaji kwa Nguvu wa Waathiriwa wa Kiislamu wa COVID-19 Nchini Sri Lanka; Vipi Tunapaswa Kujibu?!
Wilayah Syria: Kisimamo cha Atma "Muumini si Mdanganyifu, Wala Hahadaiwi na Mdanganyifu"
Vichwa Vikuu vya Toleo 317
Wilayah ya Pakistan: Naveed Butt "Uislamu Unakataa Utabikishaji Kidogo Kidogo!"
Mnamo Aprili mwaka huu 2020, serikali ya Sri Lanka ilitoa kanuni inayoamuru kwamba wale wote wanaokufa kutokana na Covid-19 au ambao walikuwa na virusi vya ugonjwa huu wakati wa kifo walipaswa kuchomwa moto,
Vichwa Vikuu vya Toleo 316
Sehemu za amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kote ulimwenguni kumnusuru na kumuunga mkono Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).