Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 380
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"
Katika mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kwa kuhitimisha amali angazo pana iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika kipindi chote cha mwezi wa Rajab 1443 H
Hizb ut-Tahrir / Sweden iliandaa maandamano katika mji mkuu, Stockholm, kupinga utekaji nyara wa huduma za kijamii kwa watoto wa Kiislamu ndani ya mfumo wa sera uoanishaji ya Sweden.
Mchangio wa Dada Marwa Khasharem, mwanafunzi wa Chuo cha Sheria mjini Sfax, wakati wa kongamano la kisayansi lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi wa Tunisia katika Chuo cha Sheria cha Sfax, chini ya mada "Uislamu wa Kisiasa na Changamoto za Demokrasia".
Kutoka ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mwezi wa mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa mji wa Halaf kwa anwani: "Kufungua Mipaka Kunatangulizwa Kuliko Kufungua Kambi za Uzuizini!"
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika hoteli ya Akgun katika jimbo la Istanbul.