Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 383
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia mabishano yanayoendelea kati ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini, kuhusu umbile la mfumo wa kisiasa nchini Tunisia na katiba inayoudhibiti,
Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Kafra viungani mwa Azaz, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".
Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".
Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na unyakuzi wa umbile la Kiyahudi wa ardhi hiyo iliyobarikiwa na mashambulizi yake ya kuendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na mashambulizi ya miaka 16 ya Ukanda wa Gaza,
Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa kongamano lake la Khilafah la kila mwaka kwa anwani: "Kuamiliana na Watu wenye Mawazo Tofauti Tofauti ndani ya Dola ya Khilafah" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu (Khilafah)
Baada ya Swala ya Ijumaa mnamo tarehe 4/3/2022, katika halaiki ya waumini, na katika kuhitimisha amali zake za kukumbuka miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilitoa ombi kutoka kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kwa Ummah na majeshi yake, ikiwalingania kuharakisha kusimamisha Khilafah na kuwanusuru wabebaji dawah yake.
Hotuba ya kitaifa ya Imran Khan inathibitisha kwamba Pakistan haiwezi kamwe kufanikiwa wakati inafungamana na mfumo wa sasa wa kiuchumi wa kiulimwengu.