Jumanne, 29 Sha'aban 1444 | 2023/03/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV:

Rambirambi za Hizb ut Tahrir kwa Mashahidi wa Matetemeko ya Ardhi Yaliyoikumba Uturuki na Syria!

Hizb ut Tahrir inawapa pole mashahidi wa matetemeko ya ardhi yaliyoikumba Uturuki na Syria, na inamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu awaandike mbele yake kuwa ni mashahidi wa Akhera, ikisadikisha Hadith iliyopokewa na Bukhari na Muslim kutoka kwa Abu Hurairah, Mwenyezi Mungu awe radhi naye kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema: «... الشُّهَدَاءُ خَمْسَةٌ الْمَطْعُونُ وَالْمَبْطُونُ وَالْغَرِقُ وَصَاحِبُ الْهَدْمِ وَالشَّهِيدُ فِي سَبِيلِ اللَّهِ عَزَّ وَجَلَّ» “... mashahidi ni aina tano: aliyekufa kwa ugonjwa wa tauni, aliyekufa kwa maradhi ya tumbo, aliyekufa maji na aliyekufa kwa maporomoko na shahidi aliyekufa katika njia ya Mwenyezi Mungu Mtukufu. ” Na mwenye kuporomokewa maana yake ni yule anayekufa chini ya kifusi. Na tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa wale walio okoka miongoni mwao waishi maisha mazuri, wayatumie kwa kumtii Mwenyezi Mungu (swt), na kwa kumtii Mtume Wake ﷺ kwa fadhila na neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

 Jumapili, Rajab 21 Muharram 1444 H - 12 Februari 2023 M

Kwa Mengi Zaidi Bonyeza Hapa

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu