Juu ya Kumbukumbu ya 97 ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah:
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hakuna ikhtilafu kuwa sharia za Dola ya Khilafah ni miongoni mwa fiqhi ya vitendo, na wala si katika maswala ya Aqeeda.
Hakuna ikhtilafu kuwa sharia za Dola ya Khilafah ni miongoni mwa fiqhi ya vitendo, na wala si katika maswala ya Aqeeda.
Mwishoni mwa mkutano wa 32 wa kamati ya kieneo ya kupambana na ugaidi ya Shirika la Ushirikiano la Shanghai (SCO), uliofanywa mnamo Alhamisi, Aprili 5, 2018 jijini Tashkent, Jenerali Sergev Smirnov,
Kuanzia mwanzoni mwa kazi ya Hizb ut Tahrir nchini Uzbekistan, watu waliitikia ulinganizi kwa moyo mkunjufu – watu tofauti tofauti, kutoka matabaka mbali mbali walivutiwa na fikra za Hizb.
Zaidi ya mashambulizi ya angani 2000 yalifanywa na jeshi la anga la Urusi (mashambulizi 1150) na jeshi la anga la Syria (mashambulizi 900) na kuangamiza watu na ardhi; yaliangamiza mahospitali, masoko ya mboga na viwanda vya kuoka mikate, yakiuwa mashahidi 900 na kujeruhi raia 2000 wasiokuwa na silaha.