Mwamko wa Afrika Unategemea Kuukumbatia Kwake Mradi wa Khilafah Kama Badala ya Ukoloni wa Kimagharibi Ambao Ndio Mzizi wa Mateso Yake
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
“Makubaliano yaliyoasisi eneo huru la kibiashara barani Afrika (AfCFTA) yalitiwa saini na nchi 44,” Moussa Faki Mahamat, mwenyekiti wa tume ya AU alisema.