Waziri Mkuu Afungua Bunge na Shambulizi Jipya kwa Familia za Kiislamu!
- Imepeperushwa katika Denmark
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Katika vipindi vya kawaida na vilivyopangwa vizuri, serikali ya Denmark yawasilisha mipango ya sera inayolenga kuwashawishi Waislamu na vilevile kugeuza umakini kutoka kwa maswala muhimu ya jamii.