China na Amerika: Katika Mahusiano Changamani
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hivi karibuni Bunge la Amerika limeidhinisha bajeti ya ulinzi ya dolari bilioni 777.7, ikiwa ni ongezeko la asilimia tano kutoka mwaka jana.
Hivi karibuni Bunge la Amerika limeidhinisha bajeti ya ulinzi ya dolari bilioni 777.7, ikiwa ni ongezeko la asilimia tano kutoka mwaka jana.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Kocatape jijini Ankara lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!"
Mswada mpya wa Khan unalenga kuifanya Benki Kuu ya Dola ya Pakistan (SBP) kuwa huru kimaamuzi na umelaaniwa na watu wengi.
Katika salamu zake za Mwaka Mpya kwa watu wa Uzbekistan, Rais Shavkat Mirziyoyev alipendekeza kutangaza 2022 kuwa mwaka wa "Kuhakikisha Maslahi ya Binadamu na Maendeleo ya Mahalla".