Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu Uganda Utawanufaisha Wakoloni Tu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Uganda imetangaza ugunduzi wa kwa hifadhi ya madini ya dhahabu kiasi cha tani milioni 31, ikiwa na ujazo wa dhahabu halisi kiasi cha tani 320,000.