Kuanguka Kusiko na Kikomo kwa Rupia ya Pakistan ni Thibitisho Kubwa la Haja Kuu ya Sarafu ya Dhahabu na Fedha ya Uislamu
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mawaziri mashuhuri wa muundo wa sasa wa raia wa Pakistan, Ahsan Iqbal, Khurram Dastagir na Miftah Ismail, wanadai kwa uwongo kwamba hakuna mgogoro wa dolari wala hatari ya kushindwa kulipa madeni.