Katiba Hii Mpya Nchini Tunisia ni Ipi?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kura ya maoni ya katiba imepangwa kufanyika nchini Tunisia mnamo tarehe 25 Julai. Ikipita itakuwa ni katiba ya pili baada ya mapinduzi ya 2011.
Kura ya maoni ya katiba imepangwa kufanyika nchini Tunisia mnamo tarehe 25 Julai. Ikipita itakuwa ni katiba ya pili baada ya mapinduzi ya 2011.
Hapo jana rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alifanya msururu wa mikutano na rais wa Iran Ebrahim Raisi na rais wa Urusi Vladimir Putin jijini Tehran ambako yuko katika ziara rasmi.
Enyi Waislamu: Je, haujafika wakati kwenu kuzinyenyekesha nyoyo zenu kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na yale yaliyoteremshwa kwa haki, na musonge katika kuinusuru Al-Aqsa, kabla ya kugawanya kwake kupitia wakati na nafasi kuwa kweli, kisha majuto hatamfaidi mtu?!
Kichwa cha habari cha kushtua katika gazeti la Independent mnamo tarehe 15 Julai kinasomeka: "Aina mpya ya Uviko ya 'Stealthy' inaweza kukuambukiza tena na tena kila mwezi."