Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Neno la Haki katika Chuo cha Sheria Mjini Sfax!
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mchangio wa Dada Marwa Khasharem, mwanafunzi wa Chuo cha Sheria mjini Sfax, wakati wa kongamano la kisayansi lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi wa Tunisia katika Chuo cha Sheria cha Sfax, chini ya mada "Uislamu wa Kisiasa na Changamoto za Demokrasia".