Serikali ya Sharif Yaidhinisha Sera zenye Madhara kwa Viwanda
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hivi majuzi, Benki Kuu ya Pakistan (SBP) ilipandisha viwango vya riba hadi 15% katika hatua ya kuzuia mfumko wa bei.
Hivi majuzi, Benki Kuu ya Pakistan (SBP) ilipandisha viwango vya riba hadi 15% katika hatua ya kuzuia mfumko wa bei.
Mbio za kumsaka raisi wa serikali ijayo zimeshika kasi ikiwa tayari wagombea wa wadhifa wa urais, walioidhinishwa na tume ya usimamizi wa uchaguzi wakizindua rasmi manifesto zao kwa ajili yakupata kura za uchaguzi wa Mwezi Agosti 09.
Hivi karibuni serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu ilitangaza kikokotoo kipya kwa ajili ya wastaafu ambacho kitaanza kutumika mwezi wa saba (Julai) mwaka huu 2022.
Mkuu wa Majeshi ya Pakistan (COAS), Jenerali Qamar Javed Bajwa, mnamo Ijumaa tarehe 17 Juni alilitaja tangazo la Jopo Kazi la Kifedha (FATF), kama "mafanikio makubwa" kwa Pakistan.
Kichwa cha habari katika Gazeti la ‘The Mirror’ mnamo tarehe 11 Juni: “Shule YAPIGA MARUFUKU wanafunzi wote kutovaa sketi chini sheria kali mpya ya ‘kutoegemea jinsia yoyote’” yaonyesha mwelekeo ambao ghiliba ya kijinsia ya Kimagharibi inachukua.
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud mnamo Alhamisi alichukuwa uongozi kwa mara ya pili, akiahidi kuyaunganisha makundi yaliyogawanyika nchini mwake, pamoja na kuleta uhusiano mwema na majirani zake baada ya miaka mingi ya mizozo.
Hivi majuzi, serikali ya Narendra Modi ilijikuta matatani baada ya baadhi ya wanachama wake kutoa matamshi ya dharau dhidi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Katika nia ya kujinasua kutoka kwa ghadhabu inayozidi kuongezeka katika ulimwengu wa Kiislamu, Modi alichukua hatua haraka kuwasimamisha kazi maafisa wa BJP wenye hatia lakini hii haikusaidia kuzuia kashfa dhidi ya serikali yake.
Siku ya Jumapili Mei mosi 2022 rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitangaza ongezeko la asilimia 12 kwa mshahara wa mfanyakazi kuanzia tarehi 1 Mei ili kuwa kwamua wafanyakazi ambao kwa sasa wanashuhudia mbano wa mfumko wa bei hasa bidhaa za vyakula na mafuta.
Katika wiki zilizopita, kumekuwa na zogo kuhusu suala la usalama wa chakula, ambalo linasemekana kuchochewa na vita vya Urusi na Ukraine.
Mauaji ya kinyama katika shule moja ya msingi ya Texas yamevuta hisia tena kwa hamasisho lenye nguvu la kumiliki bunduki nchini Marekani,