Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 551
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Habari muhimu kwa uchambuzi kwa jumla ndio msingi wa tafakari ya kisiasa. Kwa hakika, ndio riziki ya kila siku ya wanasiasa. Bila hivyo, siasa haziwezi kueleweka, uchambuzi wa kisiasa hauwezi kuwepo, matukio hayawezi kutambuliwa, na madhumuni yake husalia kutojulikani.