Jumatatu, 07 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Wajumbe wa Afisi za Ubalozi Kujadili Mauaji ya Halaiki huko Gaza!

Mbele ya mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa Waislamu zaidi ya 35 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Uingereza imetuma wajumbe kwenye afisi ya ubalozi za nchi kadhaa za Kiislamu jijini London wasilimisha mpango unaojumuisha nukta 10 za kufanyiwa kazi kuhusiana na mauaji ya halaiki ambayo yanafichuka huko Gaza. Wajumbe hao walijadili suala hilo pamoja na wawakilishi wa ubalozi wa Misri, Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan.

Jumanne, 23 Rabi' al-Akhr 1445 H - 07 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Facebook: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Twitter: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
YouTube: Hizb ut Tahrir/ Uingereza

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu