Alhamisi, 09 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uingereza: Maandamano ya Kuwanusuru na Kuwaombea Nusra Waislamu nchini Palestina!

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina chini ya kauli mbiu ya Kimbunga cha Al-Aqsa dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea, ambacho kuzidi katika mashambulizi yake yanayoendelea kwa Msikiti Uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Uingereza inaandaa maandamano mbele ya ubalozi wa Misri na Uturuki jijini London kutoa wito kwa majeshi ya Waislamu kuvunja pingu ambazo watawala Ruwaibidha wameweka kwenye kambi zao na kutaharaki mara moja kuwakanyaga watawala wasaliti na kuwanusuru Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti wa Al -Aqsa uliyebarikiwa kutoka kwa makucha ya Mayahudi wavamizi.

Simameni pamoja na sisi leo ili kuvuna thawabu na Mwenyezi Mungu atatupa ushindi, hata kama ni baada ya muda.

Jumamosi, 06 Rabi' al-Akhr 1445 H - 21 Oktoba 2023 M

 

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#Ordula

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Facebook: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Twitter: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
YouTube: Hizb ut Tahrir/ Uingereza

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu