Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Uingereza:

Kwa Nini Yakupasa WEWE Kufanya Kazi na Hizb ut Tahrir?!

Mradi wa kiulimwengu wa kusimamisha tena Khilafah (Ukhalifa) kuregesha maisha kamili ya Kiisilamu imekuwa ndio lengo la Hizb ut Tahrir tangu 1953. Hizb ut Tahrir imemakinisha njia ya vitendo ya jinsi ya kurejesha tena dola, kulingana na maandiko ya Kiislamu, sambamba na kukataa fikra zote za Kimagharibi zinazo shinikizwa.

Mtazame Osman Bakhash, Mchanganuzi wa Kisiasa kutoka Lebanon, akielezea jinsi Hizb ut Tahrir inavyojenga fikra ya Kiislamu ya "Ummah mmoja, mwili mmoja" kati ya Waislamu, ili kuhuisha tena maisha kamili ya Kiislamu.

Jumamosi, 13 Rabii 'ath-Thani 1442 H – sawia na 28 Novemba 2020 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu