Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia Kongamano la Kila Mwaka: “Ruwaza ya Kiuchumi ya Hizb ut Tahrir”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia inawasilisha kwenu barua hii ya wazi, ikiweka mikononi mwenu msimamo wa kisiasa na wa vyombo vya habari katika kuhakikisha kuwepo kwa idara ya mahakama iliyo huru na ufisadi na ubaguzi, yenye kulinda haki za watu na kuwa thabiti katika kuwahisabu watawala.
Jumapili asubuhi, Mei 22, 2022, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo cha kukataa miradi ya kisiasa ya kisekula ambayo inaupinga Uislamu waziwazi na hukmu zake inayofungamana na maadui wa Waislamu kutoka katika ukoloni wa Magharibi na mfano wake.
Ee Mwenyezi Mungu, wasamehe watu wetu wa Gabes na uwe pamoja nao wala usiwe dhidi yao, Ee Mwenyezi Mungu, Ee Mwenyezi Mungu, ujaaliye moto huu uwe baridi na salama kwa watu wetu jijini Gabes.
Kwa kuzingatia mabishano yanayoendelea kati ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini, kuhusu umbile la mfumo wa kisiasa nchini Tunisia na katiba inayoudhibiti,
Mchangio wa Dada Marwa Khasharem, mwanafunzi wa Chuo cha Sheria mjini Sfax, wakati wa kongamano la kisayansi lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi wa Tunisia katika Chuo cha Sheria cha Sfax, chini ya mada "Uislamu wa Kisiasa na Changamoto za Demokrasia".
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya kikao mnamo Jumanne, Januari 11, 2022, chenye anwani: "Mapinduzi kutoka Tunisia... Changamoto na Matarajio" katika makao yake makuu huko Ariana.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia ilifanya kikao na wanahabari kwa anwani: "Kukabiliana na Upuuzi wa Kisekula!"
Mnamo siku ya Ijumaa, Oktoba 15, 2021, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa visimamo baada ya swala ya Ijumaa jijini Tunis na katika miji ya Kairouan na Sfax ili kukabiliana na upuuzi wa kisekula na njia ya kisiasa inayoharibu nchi.
Jumatatu asubuhi, Juni 21, 2021 ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia ulizuru ubalozi wa Pakistan jijini Tunis ambapo ulimkabidhi kaimu wa shughuli za ubalozi huo nakala mbili za taarifa kwa vyombo vya habari ya Kiarabu na Kiurdu iliyotolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inayoihutubia serikali ya Pakistan chini ya anwani,