Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

  Wilayah Pakistan: Turegeshe Ngao Yetu!

Turegeshe Ngao Yetu, Khilafah ili Majeshi Yetu Hatimaye Yaweze Kupaza Sauti za Takbeeraat za Ushindi ndani ya Srinagar na Al-Aqsa

Utawala wa Bajwa-Imran unamaanisha hatua ya kuchukuliwa ni ile ya hotuba tu, ilhali hitajio la wakati ni moto, damu na chuma.

Kando na kutambua kwamba Kashmir ni mshipa wa shingo zetu, utawala wa Bajwa-Imran umezuia vikosi vyetu vyenye uwezo ili visivuke Mstari wa Udhibiti ili hatimaye kwa nguvu kuyafurusha majeshi ya India ya uvamizi yaliyokata tamaa na yanayo dorora.

Licha ya kutambua ujasiri wa Waislamu watukufu wa Kashmir, utawala wa Bajwa-Imran umefanya kuwa mwito kwa Jeshi la Pakistan kuwakomboa kuwa ndio kauli mbiu ya "ugaidi," kwa mujibu wa nakala ya FIR iliyotolewa dhidi ya Hizb ut Tahrir mnamo 1 Oktoba 2019 ikiwa na nambari ya utambuzi RWP-WAK-002476.

Enyi Waislamu wa Pakistan na hususan Wanajeshi!

Tusiwe na shaka kwamba ni mpaka tutakaporegesha Khilafah yetu kwani watawala Waislamu waovu wataendelea kupoteza muda huku maadui zetu vitani wanatuvamia ima ni katika msalaba, India au umbile la Kiyahudi.

Kwa hiyo wafungueni simba wetu wanajeshi wa Pakistan kutoa Nussrah (msaada wa nguvu) ili kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume, ili waweze kuongozwa kama wanavyostahili kutafuta ushindi au shahada…

Jumatatu, 08 Safar 1441 H - 07 Oktoba 2019 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 20 Juni 2020 07:58

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu