Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H.
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H.
Hizb ut Tahrir / Malaysia aliandaa maandamano na kuwasilisha waraka wa ukumbusho kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwenda kwa jeshi la Malaysia ukiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake, kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya 30,000.
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi
Sambamba na Kumbukumbu ya Kuanguka kwa Khilafah katika mwezi mzima wa Rajab mwaka huu, 1444 Hijiria, Hizb ut Tahrir/Malaysia iliandaa mfululizo wa Semina Mseto zinazosisitiza juu ya uhusiano wa kihistoria kati ya Khilafah na Ulimwengu wa Kimalay, na ufaradhi wa Waislamu kuisimamisha tena.
Kufuatia matukio mawili tofauti yaliyohusisha kitendo cha kinyama na cha uoga cha kutusi kupitia kuchoma moto nakala ya Quran, Hizb ut Tahrir/Malaysia (HTM) ilifanya maandamano ya amani na kuwasilisha risala za maandamano kwa Balozi za Uswidi na Uholanzi jijini Kuala Lumpur.
Kamati maalumu za kutafuta mwandamo wa mwezi zilizoundwa na Hizb ut Tahrir Malaysia ziliutafuta mwezi mwandamo wa Ramadhan uliobarikiwa wa mwaka huu 1443 H - 2022 M katika zaidi ya maeneo kumi tofauti kote nchini Malaysia.
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"
Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,