Jumanne, 03 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Denmark Kongamano la Kila Mwaka:

Hapana kwa Uoanishaji! Uislamu Ndio Utambulisho Wetu!

 Hizb ut Tahrir / Denmark ilifanya Kongamano la kila mwaka kwa mwaka huu 1442 H – 2020M lililopewa jina:

Hapana kwa Uoanishaji! Uislamu Ndio Utambulisho Wetu!

Jumuiko kubwa la Jamii yetu tukufu ya Kiislamu, Alhamdulilah Rabb Alameen.

 Jumapili, 07 Rabii 'ath-Thani 1442 H - 22 Novemba 2020M

- Video ya Utangulizi wa Kongamano -

Video za Kongamano

Uhalisia wa Sheria - Eneo la Adhabu Lililo Baya Zaidi.

Chama kitafanya mambo gani ili Kulinda Utambulisho wa Kiislamu?

Ujumbe wa Kongamano unaweza kufikishwa vipi kwa Waislamu wote Denmark?

- Ikiwa Hizb ut-Tahrir inafanya kazi tu kwa upande wa kisiasa na haifanyi kazi katika akhlaqi na kiroho, basi inawezaje kufanya kazi kwa ajili ya Uislamu kwa ujumla? -

Je! Harakati zingine za Kiisilamu pia hazilindi kitambulisho cha Waislamu hapa Magharibi?

Je! Huwezi kusema kuwa kuna mgawanyiko wa kazi kati ya makundi ya Kiislamu ...

Hizb ut-Tahrir inaweza kuzingatia upande wa kisiasa na makundi mingine yanaweza kuzingatia upande wa maadili?

Ikiwa ndivyo hivyo, tatizo basi ni nini?

- Je! Kazi katika Magharibi inahusiana vipi - kwa umbo la kulinda kitambulisho cha Waislamu - haswa kwa kazi ya Khilafah katika nchi za Waislamu? -

Je! Sisi kama wanawake wa Kiislamu tunaweza kufanya nini katika vita dhidi ya uoanishwaji?

Je! Ni kipi kilicho bora kwetu Waislamu huko Magharibi?

Je! Turudi katika nchi za Kiisilamu na kufanya kazi kusimamisha Khilafah huko?

Au tubakie Magharibi na kuwaunga mkono Waislamu wanaokimbia dini yao?

Je! Utajibuje hadithi inayosemwa kwamba ikiwa hatutapambana na kuwafichua wanasiasa wa Magharibi, mwishowe wataacha kushambulia Uislamu na thaqafa yetu!

Madai yanayosemwa kwamba sisi ndio sababu ya wao kuwa wakali mno! Je! Mapambano ya kisiasa yanapaswa kukomeshwa kabisa?

- Msemo "Je! Tunawezaje kusadiki kuwa unataka kuishi Denmark na hutaki kuzama ndani ya jamii ya Denmark!" -

Je! Majibu ya Hizb ut-Tahrir ni yapi kwa baadhi ya wanasiasa wa Kidenmaki na Waislamu wa kawaida ambao wanaodai kuwa mvutano huu ni mapambano ya Hizb ut-Tahrir na sio mapambano ya Waislamu!

- Je! Muislamu anaweza kuwa mwanachama mchangamfu katika jamii ya Magharibi bila ya kuathiri Uislamu?! -

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 24 Disemba 2020 14:58

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu