- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:
Kitengo cha Wanawake “Enyi Majeshi ya Waislamu Ikomboeni Al-Aqsa!”
Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya kimbari na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile uaji halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa. Wakati huo huo, Waislamu katika Ukingo wa Magharibi wangali wanauawa na kutishiwa na genge la Mayahudi.
Na wito huu kutoka kwa mwanamke wa Kiislamu kutoka Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwenda kwa majeshi ya Waislamu ni kwa ajili ya kutaharaki kwa haraka kuwatetea miongoni katika Umma wao na ukombozi wa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na ardhi yote ya Palestina kutokana na ukaliwaji mbaya wa kimabavu.
Imetolewa na: Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Ijumaa, 19 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 03 Novemba 2023 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies