Jumamosi, 18 Shawwal 1445 | 2024/04/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Kitengo cha Wanawake “Wito wa Dada kutoka Palestina kwenda kwa Majeshi ya Waislamu!”

Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya kimbari na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa. Wakati huo huo, Waislamu katika Ukingo wa Magharibi wangali wanauawa na kutishiwa na genge la Mayahudi.

Na wito huu kutoka kwa mwanamke wa Kiislamu kutoka Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwenda kwa majeshi ya Waislamu ni kwa ajili ya kutaharaki kwa haraka kuwatetea miongoni katika Umma wao na ukombozi wa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na ardhi yote ya Palestina kutokana na ukaliwaji mbaya wa kimabavu.

Imetolewa na: Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Alhamisi, 18 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 02 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu