Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 414-415-416
- Imepeperushwa katika Video
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kuendelea na amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mikoa na wilaya tofauti za nchi ili kuunda rai jumla ya umma ambayo inafahamu hukmu za Uislamu na suluhisho zake zinazohusiana na hali mbaya ambayo watu wanaishi ndani yake, ikiwakilisha utovu wa usalama na mapigano endelevu kati ya makabila tofauti tofauti, na kutoa wito wa kutekelezwa kwa usekula katika dola na jamii, na wanasiasa vibaraka, na wale waliopagawishwa na thaqafa ya Kimagharibi ...
Afisi Kuu ya Habari: Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz kwa Mnasaba wa Kuja kwa Mwezi wa Baraka wa Ramadhan 1442 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafurahi kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila ya video mpya katika vipindi vya Al-Waqiyah TV kwa anwani "Kutoka kwa Thaqafa Yetu",
Al-Waqiyah TV: Silsila ya Ramadhan "Neno Zuri"
Kuhusiana na Kashmir Iliyokaliwa, mnamo tarehe 18/3/2021, Jenerali Bajwa alisema, “Nahisi kwamba sasa ni wakati wa kuzika yaliyopita na kusonga mbele”.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria iliwasilisha waraka wake wa tatu wa kisiasa pamoja na ujio wa kumbukumbu ya miaka mia moja ya kuvunjwa kwa Khilafah kwa mikononi ya mhalifu Mustafa Kamal,
Wilayah Syria: Miongoni mwa Mashababu wa Hizb ut Tahrir Waliokamatwa na Kundi la Hay'at Tahrir Ash-Sham!