Jumapili, 15 Rabi' al-awwal 1447 | 2025/09/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Enyi, Jeshi la Misri, KInana... Adui yuko Machoni pako... Amemwaga Damu yenu na Kuwaua Ndugu zenu, Umefika Wakati kwenu Kuchukua Hatua!”

Hizb ut-Tahrir/Wilayah Tunisia imeandaa matembezi kwa kichwa “Enyi, Jeshi la Misri, Kinana... Adui yuko Machoni pako... Amemwaga Damu yenu na Kuwaua Ndugu zenu, Umefika Wakati kwenu Kuchukua Hatua!baada ya swala ya Ijumaa yaliyoanza kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis hadi barabara ya Al-Thawra kama ilivyo kila Ijumaa.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Watu wa Palestina Wanauita Umma na Majeshi yake Kuinusuru Gaza na Jenin!

Chini ya anwani, “Enyi Majeshi ya Waislamu ... Ni Nani Atakayenusuru Rafah, Jenin, na Palestina yote ikiwa Nyinyi Hamtazinusuru?!”, umati mkubwa wa watu wa Palestina ulishiriki katika mji wa Al-Bireh matembezi yaliyoitishwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina mnamo siku ya Ijumaa, 16 Dhu al-Qa'dah 1445 H sawia na 24 Mei 2024 M, wakiyataka majeshi ya Waislamu na vikosi vya silaha kuisuluhisha Palestina na watu wake kutokana na uhalifu wanaotendewa na umbile la Kiyahudi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Mkutano wa Waandishi Habari mjini Port Sudan “Suluhisho Linatoka Ndani”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan ilifanya mkutano na waandishi wa habari uliofaulu wenye kichwa: “Mgogoro wa Sudan...Suluhisho Linatoka Ndani,” mnamo siku ya Alhamisi, 8 Dhul-Qa'adah 1445 H sawia na 16 Mei 2024 M, katika ukumbi wa mikutano, katika Hoteli ya Al-Basiri Plaza mjini Port Sudan.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu