Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 424
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inaomboleza, mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir, mbebaji da'wah kutoka safu zake za kizazi cha kwanza, Marehemu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu:
Hizb ut-Tahrir Wilayah Bangladesh yaandaa kongamano lake la kila mwaka kwa mwaka huu kupitia Mtandaoni na litakuwa chini ya kichwa:
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilionya juu ya njama chafu ya kuishambulia Al-Khalil kwa kutumia mizozo ya kifamilia na kuibua taharuki kwa kuzifinika kwa kufiniko cha ukoo.
Wanachama wa Hizb ut Tahrir/ Uingereza walishiriki katika kisimamo cha kuwanusuru Waislamu wa Uyghur mbele ya Ubalozi wa China jijini London, na Ubalozi mdogo wa China jijini Manchester, Jumamosi tarehe 13/11/2021.
Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.