Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Pakistan

H.  11 Jumada I 1446 Na: 1446 / 16
M.  Jumatano, 13 Novemba 2024

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Vikosi vyetu vya Jeshi vimejaa Maafisa Wenye Ikhlasi, Mashujaa na Wenye uwezo.
Kutananeni na Kila Mmoja Wao Ili Kuwashajiisha Kuondoa Kila Kikwazo Kinachosimama Katika Njia ya Uhamasishaji Wao Katika Kuinusuru Gaza!

(Imetafsiriwa)

Moto wa vita umeangaza anga, na jambo hilo liko wazi mithili ya usiku na mchana. Kuwanusuru Waislamu wa Gaza na Palestina hakutatokea, bila ya zana za kivita za majeshi ya Waislamu. Majeshi yetu ndiyo yalio na uwezo huu. Basi ni nini sababu, enyi Waislamu, kwamba tusikutane na maafisa wa kijeshi tunaowajua kibinafsi, na kujadiliana na kila afisa mmoja mmoja? Kwa nini tusiwatembelee ndugu wa maafisa hawa na kuwahimiza wachukue hatua za haraka? Ummah lazima uyatake majeshi yake yaondoe kila ukuta, na kushinda kila kizuizi, kinachosimama kati yao, na uharibifu wa uvamizi wa Mayahudi.

Maafisa hawa wa kijeshi hawaishi katika kina kirefu cha misitu yenye giza, wala kwenye vilele vya milima ya mbali. Wanaishi miongoni mwetu, na kati yetu, katika jamii yetu. Wao ni sehemu ya nyumba, familia na jamii zetu. Pia wana hisia za Kiislamu kama sisi. Pia wanahisi maumivu haya, labda hata zaidi kuliko sisi. Miongoni mwao ni mashujaa, ambao wanaweza kubadilisha wimbi la vita hivi vyote. Miongoni mwao ni watoto wa Ali (ra), Khalid bin Waleed (ra) na Salahuddin (rh). Miongoni mwao ni kina Saad bin Mu’adh (ra) na Usyad bin Hudhair (ra) wa leo.

Kwa hivyo, je tumemaliza juhudi zetu zote za kuingiliana na jeshi? Je, tumejaribu tuwezavyo kuwafikia maafisa hawa? Je, tumewahimiza kupata thawabu, au kuwafanya wahisi dhambi la kupuuza? Je, Mwenyezi Mungu (swt) hatatuuliza kwamba tulipojua kwamba kuna haja ya kuwakusanya wanajeshi, tulichukua hatua gani kwa hilo? Je, tumekwenda kwa kila afisa wa kijeshi tunayemjua, ili kuwadhihirishia wajibu wao wa Shariah? Au tulikaa nyumbani, tukichukulia kwamba hatuhitaji kuwasiliana na maafisa waaminifu na kuwataka wasonge? Je, tumejiamulia kwamba kususia kunatosha, ingawa kususia hakukupunguza mauaji ya halaiki huko Gaza hata kwa risasi moja, achilia mbali bomu?

Ingawa ulimwengu wa Kiislamu unatawaliwa na miundo ya wakoloni, na uongozi wa taasisi nyingi ni mawakala wa nchi za Magharibi, taasisi zote hizi zimejaa wana wa kweli wa Umma. Wana wa Ummah hawa wanyoofu wanatawaliwa na uongozi huu kibaraka kupitia utungaji wa sera na amri za kimkakati. Kwa upande wa Gaza, Ummah unahitaji makamanda wa kijeshi wanaokataa vikwazo vya uongozi, mipaka ya kitaifa ya kikoloni na mfumo wa dunia wa Marekani ambao unasimama katika njia yao.

Watapigana na Mayahudi, na hivyo kulipeleka jambo hili kwenye hitimisho lake lisiloepukika. Kwa hakika, umbile la Kiyahudi halina uwezo wa kupigana hata moja ya majeshi ya Waislamu, au hata vitengo vichache vya jeshi. Uhamasishaji tu wa vikosi vya jeshi ndio utatikisa umbile la Kiyahudi, na kuwalazimisha kukimbilia kwenye miti ya Gharqad ya Mayahudi.

Sisi kama Umma tunahitaji kujibu kwa ukamilifu, kwa manuari zetu dhidi ya manuari zao, vifaru vyetu dhidi ya vifaru vyao, ndege zetu za kivita dhidi ya ndege zao za kivita na askari wetu dhidi ya askari wao. Mwisho wa umbile la Kiyahudi ni hakika. Mtume (saw) alitoa bishara njema ya kupigana na Mayahudi. Ni haramu kurudi nyuma kutoka kwa vita, baada ya ngoma za vita kupigwa. Basi ni nani atatimiza wajibu wa kukataza munkar? Ni nani atazungumza dhidi ya kuzuia majeshi yetu kusonga kuinusuru Gaza?

Enyi Maulamaa, wabebaji Dawah, waandishi wa habari, watangazaji, wanamitandao, walimu, mawakili, wawakilishi wa vyama vya biashara, watu wenye ushawishi na Waislamu kwa jumla! Moto wa vita unawaka, na makafiri wa ulimwengu wamekusanyika dhidi yetu. Hata hivyo, watawala wa Waislamu wamekataa kuyakusanya majeshi ili kuinusuru Gaza. Badala yake wameunga mkono waziwazi ukafiri na makafiri. Hivyo lazima tujitokeze na kuyataka majeshi yetu yawaondoe watawala hawa. Ni lazima tuwatake maafisa waaminifu katika vikosi vyetu vya kijeshi waipe Nusrah Hizb ut Tahrir kwa ajili ya kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume, ambayo itajibu kilio cha waliodhulumiwa, kukomboa ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu na kutia hofu nyoyoni mwa maadui zetu wote. Amesema Mwenyezi Mungu (swt):

[أَتَخْشَوْنَهُمْ فَاللهُ أَحَقُّ أَن تَخْشَوْهُ إِن كُنتُم مُّؤُمِنِينَ * قَاتِلُوهُمْ يُعَذِّبْهُمُ اللهُ بِأَيْدِيكُمْ وَيُخْزِهِمْ وَيَنصُرْكُمْ عَلَيْهِمْ وَيَشْفِ صُدُورَ قَوْمٍ مُّؤْمِنِينَ]

“Je, mnawaogopa? Basi Mwenyezi Mungu anastahiki zaidi mumwogope, ikiwa nyinyi ni Waumini. Piganeni nao, Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa mikono yenu, na awahizi na akunusuruni muwashinde, na avipoze vifua vya kaumu ya Waumini.” [Surah At-Tawbah, 9:13-14].

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Pakistan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Pakistan
Address & Website
Tel: +(92)333-561-3813
http://www.hizb-pakistan.com/
Fax: +(92)21-520-6479
E-Mail: htmediapak@gmail.com

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu