#MwacheniHuruDktRoshan: Kumteka Nyara Mwanamke kwa Ajili tu ya Kulingania Hukmu kwa yale yote Yaliyoteremshwa na Allah (swt) ni Kushuka Daraja ya Maquraysh
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika ugandamizaji wao wa nguvu kwa ulinganizi wa kisiasa wa Uislamu kama mfumo kamili wa maisha, watawala wa Pakistan wametupilia mbali hadhi kuu ambayo Uislamu umeipatia heshima ya mwanamke wa Kiislamu.