Moto Unaowaka Karachi Utazimwa na Khilafah Pekee, na wala Kamwe Hautazimwa na Nidhamu ya Kimajimbo ya Kibunge ya Kidemokrasia au Jamhuri ya Kiraisi
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maeneo mengi ya Karachi bado yamezama katika mchanganyiko wa mvua na maji taka, na kukatika kukubwa kwa nguvu za umeme, baada ya siku kadhaa za mvua kubwa iliyoharibu miundombinu ya Karachi iliyopuuzwa kwa muda mrefu.