Alhamisi, 16 Shawwal 1445 | 2024/04/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Tanzia ya Mbebaji Da’wah kutoka katika Kizazi cha Kwanza Sheikh Yaseen Yousuf Zalloum (Abu Ammar)

Kwa kujisalimisha kwa amri ya Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala na kuridhika na Qadhaa Yake, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Jordan inaomboleza kwa Umma wa Kiislamu kwa jumla, na kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al- Rashtah, na kwa Shabab wa Hizb ut Tahrir haswa, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, mbebaji mahiri wa Da'wah na mwanasiasa mkuu, Sheikh Yaseen Yousuf Zalloum (Abu Ammar), mmoja wa wanachama wa kizazi cha kwanza cha Hizb ut Tahrir, na kaka wa Amiri wa pili wa Hizb ut Tahrir,

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Jordan kwenda kwa vitivo vya Sharia na Waandaaji wa Kongamano la "Uhalisia wa Maji Nchini Jordan"

Chini ya uangalizi wa Waziri wa Wakfu na Masuala ya Matukufu ya Kiislamu, Dkt Muhammad Al-Khalayleh, vitivo vya Sharia katika vyuo vikuu vya Jordan, kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ), watafanya kongamano la kwanza kwa wanafunzi wa vitivo vya Sharia katika vyuo vikuu vya Jordan chini ya anwani: "Uhalisia wa maji nchini Jordan ... Changamoto na Masuluhisho kutoka kwa Mtazamo wa Kiisilamu." Ambalo litafanyika kwa kutumia programu ya Zoom mnamo Jumamosi tarehe 12/12/2020.

Soma zaidi...

Kukosekana kwa Utekelezwaji wa Sheria ya Mwenyezi Mungu ni Uhalifu Mkubwa ambao Hutengeneza Uwanja wa Kuzaana kwa Wahalifu na Kukwepa Kwao

Uhalifu wa kushambuliwa kwa kijana wa Zarqa ulitikisa hisia za jamii nchini Jordan kutokana na kuogofya kwake na kutokea kwake mchana kweupe uliofanywa na genge la wahalifu ambalo limezoea kufanya uhalifu mbele ya vyombo vya usalama na mahakama,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu