Bei ghali ya Mafuta: Kufeli Kiujumla Kwa Mfumo wa Ubepari wa Kiushuru
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kama ilivyotarajiwa, kwa mara nyengine tena bei ya mafuta imepanda maradufu kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Kenya baada ya serikali kusitisha mpango wake wa kulipia gharama za bidhaa za petroli ulioanzishwa mwezi Aprili mwaka huu kama njia ya kuepusha hasira za raia dhidi ya gharama kubwa za maisha.