Hukmu ya Kushiriki katika Uchaguzi wa Uraisi wa Jamhuri
- Imepeperushwa katika Uzbekistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kushiriki katika uchaguzi wa urais mnamo 24 Oktoba ni haramu kwa Waislamu. Na dalili ni: mfumo uliowekwa katika Shariah ni mfumo wa Khilafah. Mfumo wa kijamhuri ambao msingi wake ni mfumo wa kidemokrasia sio mfumo wa serikali katika Uislamu.