Kwa kuogopa Kuondolewa Madaraka Haraka, Serikali ya Hasina Inafuata Sera Hatari ya Kuiridhisha na Marekani
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kufuatiliwa kwa miaka mingi, Bangladesh hatimaye imepitisha rasimu ya makubaliano ya ulinzi na Marekani wakati wa mazungumzo ya nane ya ushirikiano kati ya nchi mbili hazo yaliyofanyika Dhaka, Bangladesh mnamo siku ya Jumapili (Machi 20).