Istanbul Inakuwa Sauti Moja kwa ajili ya Gaza "Khilafah ndio Itakayoiokoa Palestina!"
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mauaji ya halaiki yanayofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu mjini Gaza, ambayo yamefikia siku yake ya 73, yanaendelea kwa msaada wa Marekani na nchi za Magharibi za kikafiri, na kimya cha watawala waoga wa nchi za Kiislamu ambao wanashirikiana na wakandamizaji.