Juu ya Kumbukumbu ya 97 ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah:
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hakuna ikhtilafu kuwa sharia za Dola ya Khilafah ni miongoni mwa fiqhi ya vitendo, na wala si katika maswala ya Aqeeda.
Hakuna ikhtilafu kuwa sharia za Dola ya Khilafah ni miongoni mwa fiqhi ya vitendo, na wala si katika maswala ya Aqeeda.
Mwishoni mwa mkutano wa 32 wa kamati ya kieneo ya kupambana na ugaidi ya Shirika la Ushirikiano la Shanghai (SCO), uliofanywa mnamo Alhamisi, Aprili 5, 2018 jijini Tashkent, Jenerali Sergev Smirnov,
Kuanzia mwanzoni mwa kazi ya Hizb ut Tahrir nchini Uzbekistan, watu waliitikia ulinganizi kwa moyo mkunjufu – watu tofauti tofauti, kutoka matabaka mbali mbali walivutiwa na fikra za Hizb.
Zaidi ya mashambulizi ya angani 2000 yalifanywa na jeshi la anga la Urusi (mashambulizi 1150) na jeshi la anga la Syria (mashambulizi 900) na kuangamiza watu na ardhi; yaliangamiza mahospitali, masoko ya mboga na viwanda vya kuoka mikate, yakiuwa mashahidi 900 na kujeruhi raia 2000 wasiokuwa na silaha.
Kwa wepesi, swali ni: Je, majeshi, wanamgambo na mashirika yanapigania nini, kuanzia Syria mpaka Yemen mpaka Libya, Misri na Iraq? Nani anamuua nani na kwa nini?
Hivi majuzi, mwanachama mwengine wa Hizb ut Tahrir – Kuziboev Sulton, Allah Amrehemu, alifariki ndani ya gereza la Rahmon, katili wa Tajikistan.
Waziri wa Kigeni wa Amerika Rex Tillerson alitoa hotuba katika Chuo Kikuu cha Stanford, jimbo la California mnamo 17/1/2018 na kuonyesha raghba ya kufafanua sera ya Amerika nchini Syria.
Mnamo Disemba 13/12/2017, viongozi wa nchi hamsini na tano za biladi za Kiislamu walikusanyika jijini Istanbul kujibu uamuzi wa Trump wa kutangaza Al-Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa umbile la Kiyahudi,
Kuanzia asubuhi na mapema mnamo 14 Novemba kulianza misako mikali katika jiji kuu la Uzbekistan, Tashkent, katika majumba ya Waislamu walio nasibishwa kwa njia moja au nyengine na chama cha kisiasa cha Hizb ut Tahrir.
Kuhusiana na kile kinachotutia wasiwasi katika ufafanuzi na majibu ya Tangazo la Xiamen lililo fanywa na nchi wanachama wa BRICS lililo tolewa kama nakala ya mwisho mnamo Jumatatu, 4 Septemba 2017,