- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis: Mahojiano na Dkt. Nazreen Nawaz Kujadili Vipi Haki za Wanawake Zimefafanuliwa na Shariah yetu Tukufu?
[Chaneli ya Kiislamu ya Oasis]
"Vipi Haki za Wanawake Zimefafanuliwa na Shariah yetu Tukufu?"
Shari'ah (Sheria ya Kiislamu) inahifadhi heshima na hadhi aliyopewa mwanadamu na Muumba. Sheria hizi zinatokana na Qur'an Tukufu na Sunnah za Mtume ﷺ ambazo zinafafanua kwa kina haki zisizobadilika za kila mwanadamu. Zinatumika kama msingi madhubuti unaoonyesha wazi wakala wa mtu ndani ya mipaka iliyowekwa na Mwenyezi Mungu Aliyetukuka; ikilinganishwa na mifumo iliyobuniwa na mwanadamu ambayo haina mamlaka ya halali na kujiweka chini ya ufuatiliaji usio na mwisho wa ufafanuzi na usawa.
Jumamosi, 23 Jumada al-Ula 1444 H sawia a na 17 Disemba 2022 M