Jumapili, 27 Safar 1446 | 2024/09/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Minbar ya Ummah: “Maandamano katika Kambi ya Atma, kusini mashambani mwa Aleppo, kwa kichwa "Chukua silaha kutoka kwa ghala na muanze Vita vya Sahel kabla ya viongozi wa vikundi kuisalimisha."

Minbar ya Ummah: “Maandamano katika Kambi ya Atma, kusini mashambani mwa Aleppo, kwa kichwa "Chukua silaha kutoka kwa ghala na muanze Vita vya Sahel kabla ya viongozi wa vikundi kuisalimisha."

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Sweden: Maandamano ya Kuwaunga mkono Ndugu zetu Waislamu wa Turkestan Mashariki

Hizb ut Tahrir nchini Sweden iliandaa maandamano mbele ya Ubalozi wa Uchina kupinga mateso na ubaguzi unaofanywa na Utawala wa Kikomunisti wa Uchina kwa Waislamu Wauighur Turkestan Mashariki. Mfanyakazi wa Ubalozi wa Uchina alifungulia mziki kwa sauti ya juu sana kupitia spika za sauti ili kuvuruga maandamano licha ya polisi kuwaonya wazime mziki.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali za Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari ili Kuwanusuru Watu wa Turkestan Mashariki

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki iliandaa amali za kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuwanusuru watu wa Turkestan Mashariki ambapo wanakandamizwa kwa mikono ya Wachina kwa anwani, “Nani Ataipa Nussrah Turkestan Mashariki… Nani Atasitisha Ukandamizaji wa Uchina?!” Ilifanyika baada swala ya Juma’ katika miji saba.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu