Kitengo cha Wanawake: Kampeni "Mgogoro wa Mazingira: Sababu na Masuluhisho ya Kiislamu"
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wiki hii, mawaziri na wanadiplomasia kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanakusanyika mjini Glasgow kwa ajili ya Kongamano la 26 la Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, linalolenga kutibu kile ambacho wengi wamekitaja kuwa "dharura ya hali ya hewa" inayoikabili sayari ya dunia.



